Simba SC ya Tanzania itavaana na timu pendwa ya Kombe la Shirikisho la CAF, Stellenbosch FC kutoka Afrika Kusini katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF, baada ya timu zote mbili ...
Klabu mbili maarufu za soka nchini Tanzania, Yanga na Simba zinateremka dimbani leo kwa mchezo wa ratiba ya ligi kuu unaotarajiwa kutoa mwelekeo wa mashindano hayo ya kandanda kwa mwaka 2024/25.
Leo macho ya wapenda soka nchini Tanzania na Afrika ya Mashariki yatakuwa katika dimba la Benjamini William Mkapa katika kilele cha siku ya Simba Day.Katika tukio hilo la kila mwaka timu ya Simba Leo ...